Tazama kadi zote zilizoangaliwa zaidi kwenye Noor Gallery. ..
Tazama uteuzi wa kadi za kila siku
Siyo kila hakika huonwa kwa macho. Kuna viumbe vilivyo kamilika vina fanya kazi kwa idhini ya Allah bila ya wewe kuvihisi. Utulivu unao utafuta mara kwa mara, unaweza kuwa upo karibu yako bila ya wewe mwenyewe kutegemea.MAZINGATIO: Kuamini ghaibu ni nuru ya Qur’an
Katika usiku mmoja tu, Malaika wanashuka ardhini.Amani inajaa duniani mpaka kuchomoza kwa jua.Hivi ni vitu visivyo onekana, lakini ni vya kweli kuwa vipo!MAZINGATIO:Usiku wa cheo ni nuru ya Qur’an
Tazama vizuri! Dini (ya Uislamu ni dini) inayomtengeneza mtu awe ni mwenye kukusanya nguvu na huruma na ibada. Siyo kulazimisha! Bali ni mizani ya uadilifu isiyo weza kutengenezwa na mtu yeyote!.MAZINGATIO: Kupima mambo kwa uadilifu ni nuru ya Qur’an
Hii siyo sifa ya kawaida.Bali ni mfano wa mtu.Kuwa na nguvu dhidi ya batili,Kuwa na huruma kwa watu, ni ishara ya kuwa mtu anao moyo ulio shikamana na Allah.MAZINGATIO:Kushikamana na mafunzo ya Uislamu ni nuru ya Qur’an
Hata usipo weza kufikia jambo, basi nia yako tu itakunyanyua! Lakini ukiweza kuhangaika na kujitoa muhanga katika kheri, basi malipo yako yatakuwa makubwa zaidi ya unavyo fikiria.MAZINGATIO: Kufanya matendo mema ni nuru ya Qur’an
Siyo watu wote kuwa wapo sawa!Wapo wanao tosheka kwa kushuhudia, na wapo wanao fanya harakati mbali mbali na kujitoa muhanga.Na tofauti yao ni daraja zao mbele ya Allah tu.MAZINGATIO:Kuhangaika katika maisha ni nuru ya Qur’an
Mtumwenyenguvu! Si yule anayewashindawatu. Bali ni yule anayeizuwianafsiyakewakatiwahasira, nakuchaguakusamehe! Katikakipindihicho,,,, Allah huwaanakupenda.MAZINGATIO: Kusameheninuruya Qur’an.
Pepohaipombali!Bali inahitajimoyomkunjufu:Unaotoakatikashida, nakuzuiahasira, nakusamehelichayakuwanauwezowakuadhibu.
Siyokujitoamuhanga! Bali nibiasharanjemana Allah. Kilatabu, kilaunachojitolea, ujuekuwakimehifadhiwambeleya Allah asiyevunjaahadiyake.MAZINGATIO: Kuwanayakinina Allah ninuruya Qur’an.
Tafakari!Hakika Allah amenunuakwakonafsiyakonamaliyako, nakukulipaPepo.Hiinibahatikubwaambayohuwezikupatahasarakamwe Ikiwautakuwamkwelikatikamatendoyako.MAZINGATIO:Jihadi yanafsinifungulenyemafanikionanuruya Qur’an.
Lakini! Tafakari, ujuekuwahatuayoyotenjemaunayoichukuakumuelekea Allah utakutainakabiliwanauongofumkubwa.Basi, pambanananafsiyako, na Allah atakufungulianjiazamafanikiousizozitarajia.MAZINGATIO: Uongofuninuruya Qur’an.
Kitukibayazaidi, nikumzushiauongo Allah, au kuikataahakibaadayakuijua.Hiisidhambituinayoendelea, balininjiayenyegizambaya, namwisho wake simzuriunafahamikawaziwazi.MAZINGATIO:Hakininuruya Qur’an.