​ Na endapo makundi mawili yamepigana basi wasuluhisheni kati yao na endapo litaasi moja ya makundi

​  Na endapo makundi mawili yamepigana basi wasuluhisheni kati yao na endapo litaasi moja ya makundi

​ Na endapo makundi mawili yamepigana basi wasuluhisheni kati yao na endapo litaasi moja ya makundi

13 7

Na endapo makundi mawili yamepigana basi wasuluhisheni kati yao na endapo litaasi moja ya makundi hayo juu ya lingine basi lipigeni ambalo linaasi hadi lirudi kwenye amri ya Allah na endapo litarudi basi wasuluhisheni kati yao kiuadilifu na fanyeni usawa hakika Allah anapenda wenye kutenda usawa
-Hakika waumini ni ndugu basi suluhishaneni kwenye udugu wenu na mumche Allah ili mpate kurehemewa

AL-HUJURAAT -9-10

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki