see all most watched cards on noor gallery ..
see daily recomendatios cards
Hata usipo weza kufikia jambo, basi nia yako tu itakunyanyua! Lakini ukiweza kuhangaika na kujitoa muhanga katika kheri, basi malipo yako yatakuwa makubwa zaidi ya unavyo fikiria.MAZINGATIO: Kufanya matendo mema ni nuru ya Qur’an
Siyo watu wote kuwa wapo sawa!Wapo wanao tosheka kwa kushuhudia, na wapo wanao fanya harakati mbali mbali na kujitoa muhanga.Na tofauti yao ni daraja zao mbele ya Allah tu.MAZINGATIO:Kuhangaika katika maisha ni nuru ya Qur’an
Mtumwenyenguvu! Si yule anayewashindawatu. Bali ni yule anayeizuwianafsiyakewakatiwahasira, nakuchaguakusamehe! Katikakipindihicho,,,, Allah huwaanakupenda.MAZINGATIO: Kusameheninuruya Qur’an.
Pepohaipombali!Bali inahitajimoyomkunjufu:Unaotoakatikashida, nakuzuiahasira, nakusamehelichayakuwanauwezowakuadhibu.
Siyokujitoamuhanga! Bali nibiasharanjemana Allah. Kilatabu, kilaunachojitolea, ujuekuwakimehifadhiwambeleya Allah asiyevunjaahadiyake.MAZINGATIO: Kuwanayakinina Allah ninuruya Qur’an.
Tafakari!Hakika Allah amenunuakwakonafsiyakonamaliyako, nakukulipaPepo.Hiinibahatikubwaambayohuwezikupatahasarakamwe Ikiwautakuwamkwelikatikamatendoyako.MAZINGATIO:Jihadi yanafsinifungulenyemafanikionanuruya Qur’an.
Lakini! Tafakari, ujuekuwahatuayoyotenjemaunayoichukuakumuelekea Allah utakutainakabiliwanauongofumkubwa.Basi, pambanananafsiyako, na Allah atakufungulianjiazamafanikiousizozitarajia.MAZINGATIO: Uongofuninuruya Qur’an.
Kitukibayazaidi, nikumzushiauongo Allah, au kuikataahakibaadayakuijua.Hiisidhambituinayoendelea, balininjiayenyegizambaya, namwisho wake simzuriunafahamikawaziwazi.MAZINGATIO:Hakininuruya Qur’an.
Tulia! Kwani mamboyoteambayoyanayokupaugumusasahivi, yenyewepiayapokatikauendeshwajiwa Allah.MAZINGATIO: Utulivuwanafsininuruya Qur’an.
Rahakubwakatikamaishahayayadunianinikujuakuwa Allah pekeyakendieanayekiendeshakilakitu. Tambuakuwa:siyokilakinachotokeakipodhidiyako, balibaadhiyakenimuongozowakokatikakheri.MAZINGATIO:Kumtegemea Allah ninuruya Qur’an.
Lau watuwangejuaupanawarehemaya Allah, basiwangeliasanakwakuwanamatumaininasikuwanahofu.MAZINGATIO:Matumainiyakupatamsamahaninuruya Qur’an.
Tutambuekuwasisihatushindwikwasababuniwanyonge.Balinikwasababuhatusimamiipasavyokatikadua(maombi).Tambuakuwakilaunapoinuamikonoyakokuombadua, basihaupompweke, baliupona Allahdaima.MAZINGATIO:Matumainimemaninuruya Qur’an.