Wanaume wanafiki na wanawake wanafiki
Wanaume
wanafiki na wanawake wanafiki, wao ndio wanao amrisha maovu, na
wanayakataza mema, na huzuia mikono yao kutoa mali, na humsahau
Allah, kwa hali hiyo Allah naye huwalipa kwa kutowajali na
kuwatelekeza wakizama katika upotofu wao na kuwaingiza katika adhabu
kali siku ya kiama.MAZINGATIO:Tahadhari ya unafiki na wanafiki, na
kuhakikisha t...
12
14