Kila kitu kilichopo pembezoni mwako kinafanya kazi kwa mfumo
Kila kitu kilichopo pembezoni mwako kinafanya kazi kwa mfumo maalumu.Usiku, mchana, kupumzika, na kuhangaika katika maisha. Je, umeona jinsi ilivyo picha ya maisha iliyo kamilika?MAZINGATIO:Ni muhimu kuwa na tafakuri katika nidhamu ya dunia.
36
26