Watasema waliomshirikisha Allah kwamba: Lau kama angetaka Allah
Watasema waliomshirikisha Allah kwamba: Lau kama angetaka Allah tusingefanya ushirikina sisi wala baba zetu, na tusingeharamisha kitu chochote. Kama hivyo walipinga waliokuwepo kabla yao mpaka wakaonja adhabu yetu. Sema (uwaulize): Je, mnayo elimu (ushahidi na hoja) yoyote ya hilo mtutolee (mtuoneshe)? Hamna chochote mkifuatacho isipokuwa dhana tu,...
28
16