Njia zote zinaweza kukupoteza, isipo kuwa njia moja tu,
Njia zote zinaweza kukupoteza, isipo kuwa njia moja tu, iliyo dhaminiwa na Allah mwenyewe, alipo sema: “Basi atakaye ufuata uwongofu wangu, hatapotea wala hatataabika”.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kufuata mwongozo wa Allah ili kupata mafanikio
15
13