Basi Allah Atawakinga na shari ya siku hiyo,"
Basi Allah Atawakinga na shari ya siku hiyo, na Atawapa nuru na kuwakutanisha na uchangamfu na furaha(12)Na Atawalipa kwasababu ya kusubiri kwao, Pepo na nguo za hariri(13)Humo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona (hawatahisi) humo jua kali wala baridi kali.[1](14)Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning’inia mpaka...
18
14