Neno la dharau linaweza kuonekana ni dogo,

Neno la dharau linaweza kuonekana ni dogo,

Neno la dharau linaweza kuonekana ni dogo,

13 7

 Neno la dharau linaweza kuonekana ni dogo, lakini likaleta maumivu makubwa usiyo yaona ndani ya nyoyo.Hivyo basi, jitahidi sana kuulinda ulimi wako.Inaweza kuwa unayemdharau akawa ni mchamungu zaidi kuliko wewe mbele ya Allah.MAZINGATIO:Kuwa na tabia njema na kuwaheshimu watu ni nuru ya Qur’an.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki