Imani haidhihiri katika swala tu, bali inadhihiri katika nyakati tunazo amiliana na watu.Tunawajibika kuwafanyia wema wazazi, kuwahurumia wanyonge na kuwa wapole kwa kila tunaye kutana naye katika maisha yetu.MAZINGATIO:Kujipamba kwa tabia njema na kuwafanyia watu wema ni nuru ya Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi