Unapotoa kwa ajili ya Allah fahamu kuwa hupati hasara yoyote.Kheri yoyote ambayo leo unaitoa kwa mkono wako, ujue kuwa itakurudia mwenyewe ikiwa kamili katika kipindi anachokijua Allah.MAZINGATIO:Kutoa katika mambo ya kheri ni nuru ya Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi