Nyoyo hujengwa kwa maneno, na huvunjwa kwa maneno pia.

Nyoyo hujengwa kwa maneno, na huvunjwa kwa maneno pia.

Nyoyo hujengwa kwa maneno, na huvunjwa kwa maneno pia.

14 8

Nyoyo hujengwa kwa maneno, na huvunjwa kwa maneno pia. Basi, usiwadharau watu, wala kuwa fedhuli wa maneno, wala usiwaite watu kwa sifa wasio zipenda. Heshima ni haki ya kila mtu.MAZINGATIO: Tabia njema na kusema maneno mazuri ni nuru ya Qur’an

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki