Kheri kubwa huwa kwa kufanya wema kwa kuanzia na walio karibu yako,

Kheri kubwa huwa kwa kufanya wema kwa  kuanzia na walio karibu yako,

Kheri kubwa huwa kwa kufanya wema kwa kuanzia na walio karibu yako,

15 9

Kheri kubwa huwa kwa kufanya wema kwa  kuanzia na walio karibu yako, nyumbani na kwa ndugu zako na jirani zako.Moyo unapo jaa wema, basi kheri huenea kila sehemu katika jamii.MAZINGATIO:Utu na huruma ni nuru ya Qur’an.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki