Mahusiano katika uislamu hujengwa juu ya misingi ya ridhaa na uadilifu, si kwa mabavu na fujo.
Yale yote yaliyo faradhishwa katika ndoa ni dhamana ya kulinda haki za mwanamke na kuleta utulivu wa familia.
MAZINGATIO:
Kulinda haki ni njia ya wokovu.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi