Lau katika uma zilizo pita kusingekuwa na watu
Lau
katika uma zilizo pita kusingekuwa na watu wanao kataza uovu katika
miji, basi wange angamizwa wote, lakini Allah aliwaokoa wachache
miongoni mwao ambao walikuwa wakikataza maovu.Ewe Allah! Tujaalie
katika wenye kufanya vizuri.MAZINGATIO:Umuhimu wa kufanya mema na
kukataza maovu.
119
79