Katika kipindi ambacho mtu anafikiwa na kifo,"
Katika kipindi ambacho mtu anafikiwa na kifo, hutamani kurudishwa duniani ili afanye matendo mema, lakini wapi, hakuna tena muda wa kupewa kwa ajili ya tamaa hiyo.
Muda ni wa thamani,usisubiri kutenda mema mpaka kiama kikukute.
MAZINGATIO:
Toba ina muda wake, tumia fursa hiyo haraka kabla ya kuisha
18
11