Lau ardhi ingekuwa inatikisika bila ya kutulia, je hali ya maisha ingekuwaje?Utulivu wa ardhi tunao uona haupo tu bure bure! Bali ni ujumbe muhimu unao kuita kutafakari vizuri uwezo wa uumbaji wa Allah Mtukufu!MAZINGATIO:Ni muhimu kuwa na mazingatio ya uwepo wa kweli kuhusu viumbe.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi