Je, kwani hatukuifanya ardhi (kama) tandiko? Na milima kuwa...

Je, kwani hatukuifanya ardhi (kama) tandiko? Na milima kuwa...

Je, kwani hatukuifanya ardhi (kama) tandiko? Na milima kuwa...

27 22

Je, kwani hatukuifanya ardhi (kama) tandiko? Na milima kuwa (kama) vigingi? Na Tukakuumbeni kwa jozi; (wanaume na wanawake)? Na tukafanya kulala kwenu ni mapumziko? Na tukaufanya usiku (ni kama) nguo (ya kukufunikeni)? Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia [kutafuta] maisha? [Naba’i: 7-11]

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki