Dunia inazunguka kwa kufuata mfumo maalumu wenye kuhesabiwa.
Tambua kuwa uhai wako pia una nyakati zilizo dhibitiwa zaidi kuliko unavyo dhania!
MAZINGATIO:
Kutafakari kuhusu uwezo wa Allah juu ya uumbaji wa hii dunia ni mojawapo ya kufikia maana halisi.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi