Na akaweka ardhini milima (majabali) madhubuti ili ituliye (isiiname upande mmoja) isiwamwage, na mito na njia ilimpate kuongoka (njia iliyo sawa) Na (ameweka ardhini) alama, (mnazotumia kujua njia) na kwa nyota wao wanajiongoza [Nahl: 15-16]
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi