Wema hauhitaji kufanya mambo makubwa, wakati mwingine wema."

Wema hauhitaji kufanya mambo makubwa, wakati mwingine wema."

Wema hauhitaji kufanya mambo makubwa, wakati mwingine wema."

13 8

Wema hauhitaji kufanya mambo makubwa, wakati mwingine wema huwa ni kusema neno zuri tu inatosha.

Qur’an tukufu imetufundisha kuwa kuonesha “mguno” tu husababisha kuleta maudhi ndani ya nyoyo za wazazi.

Na kuwahurumia ni dalili kubwa ya kuonesha shukurani kwao.

MAZINGATIO:

Kuwafanyia wema wazazi ni mwenendo bora wa Qur’an

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki