Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye,"

Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye,"

Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye,"

145 136

Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye, aamini. Na atakaye, akatae. Hakika Sisi tumewaandalia wenye kudhulumu Moto ambao utawazunguka kama khema. Na wakiomba msaada watasaidiwa kwa kupewa maji kama mafuta yaliyo tibuka. Yatakayo wababua nyuso zao. Kinywaji hicho ni kiovu mno! Na matandiko hayo ya kupumzikia ni maovu mno

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates