Katika mfumo wa Qur’an ndoa si mafungamano ya kawaida, bali ni mafungamano ya utulivu, upendo na huruma.
Aya haimzungumzii mume na mke tu, bali inazungumzia kuhusu nyoyo mbili zilizo ungana kwa ajili ya Allah na kuleta mshikamano wa kweli katika jamii.
MAZINGATIO:
Qur’an na malezi ya familia ni kujengwa juu ya upendo na huruma
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi