​Kusimama imara katika imani, kutakupa amani daima ndani ya moyo."

​Kusimama imara katika imani, kutakupa amani daima ndani ya moyo."

​Kusimama imara katika imani, kutakupa amani daima ndani ya moyo."

19 10

Kusimama imara katika imani, kutakupa amani daima ndani ya moyo na kusalimika na majanga ya duniani, vile vile ni sababu ya kupata Pepo ambayo ndiyo tumainio lako kubwa huko Akhera.

Kumbuka: Malaika huwa nawe katika kila hali, hii ni faida kubwa inayotokana na kuwa na msimamo thabiti katika dini.

MAZINGATIO

Ni wajibu kusimama imara katika Imani

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki