Kila tendo jema unalo litenda litakukurubisha kuingia katika Pepo ya Firdausi, isiyo kuwa na mbadala wala kubadilishwa neema zake za milele.
Hayo ndiyo maisha bora ya kweli ambayo hayana badala yake.
MAZINGATIO:
Kukaa milele Peponi kunatokana na kutenda mema..
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi