Hakuna kulazimisha (watu kuingia) katika dini

Hakuna kulazimisha (watu kuingia) katika dini

Hakuna kulazimisha (watu kuingia) katika dini

15 15

Hakuna kulazimisha (watu kuingia) katika dini. 

Hakika, uongofu umekwishajitenga na upotovu. 

Basi anayemkataa Twaghuti na kumuamini Allah, bila shaka yeye ameshika kishikio madhubuti kisichovunjika. 

Na Allah ni Mwenye kusikia sana, Mjuzi sana

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki