Kusimama sawa sawa katika njia sahihi si jambo la khiyari, bali ni amri kutoka kwa Allah.
Basi, ewe Muumini, endelea kushikamana na matendo mema pamoja na kutubu, wala usitoe nafasi kwa yeyote kukupoteza katika dini.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kuwa na msimamo thabiti katika haki
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi