Basi waliwashinda kwa idhini ya Allah na Daudi akamuua Jaluti
Basi waliwashinda kwa idhini ya Allah na Daudi
akamuua Jaluti, na Allah akampa (Daudi) ufalme na utume na akamfundisha
aliyoyataka.
Na kama Allah asingewakinga watu baadhi yao kwa wengine,
bila shaka ardhi ingeliharibika, lakini Allah ni Mwenye hisani kubwa mno
kwa walimwengu
45
28