Uislamu haumlazimishi mtu kuamini, bali unatangaza haki kwa uwazi."

Uislamu haumlazimishi mtu kuamini, bali unatangaza haki kwa uwazi."

Uislamu haumlazimishi mtu kuamini, bali unatangaza haki kwa uwazi."

38 18

Uislamu haumlazimishi mtu kuamini, bali unatangaza haki kwa uwazi kwa kusema:

“Basi atakaye, aamini. Na atakaye, akatae”.

Uhuru katika uislamu ni uhuru wa kutafuta ukweli, siyo kuukimbia.

MAZINGATIO:

Uhuru ni maamuzi ya kuchagua, kwani haki inatoka kwa Mola wenu Mlezi tu

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki