Mtume hakutumwa kuja kuwalazimisha watu kuamini, bali kuufikisha ujumbe wa Allah.
Na kila mtu ana uhuru wa kuchagua njia yake yeye mwenyewe itakayo mfikisha mbele ya Allah.
Huu ndiyo uhuru ambao hauiondoshi imani, bali unaikamilisha.
MAZINGATIO:
Uhuru wa kweli ni kuitangaza haki
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi