Njia zote zinaweza kukupoteza, isipo kuwa njia moja tu,

Njia zote zinaweza kukupoteza, isipo kuwa njia moja tu,

Njia zote zinaweza kukupoteza, isipo kuwa njia moja tu,

15 13

Njia zote zinaweza kukupoteza, isipo kuwa njia moja tu, iliyo dhaminiwa na Allah mwenyewe, alipo sema: “Basi atakaye ufuata uwongofu wangu, hatapotea wala hatataabika”.

MAZINGATIO:

Ni wajibu kufuata mwongozo wa Allah ili kupata mafanikio

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki