​Kila Aya iliyo teremshwa imeletwa ili iufikie moyo wako.

​Kila Aya iliyo teremshwa imeletwa ili iufikie moyo wako.

​Kila Aya iliyo teremshwa imeletwa ili iufikie moyo wako.

15 14

Kila Aya iliyo teremshwa imeletwa ili iufikie moyo wako. Na kila mawaidha yaliyomo ndani yake pia, ni kama vile yameandikwa kwa ajili yako peke yako, basi kuwa mwangalifu wa kuzingatia yaliyomo ndani yake.

MAZINGATIO:

Qur’an ni ujumbe maalumu kwako!

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki