Nyoyo ndiyo zinazo fahamu, siyo masikio.
Basi, yeyote mwenye kuufungua moyo wake kwa kuifuata haki, atapata katika Qur’an nuru.
Na mwenye kuufunga moyo wake, basi hautosikia chochote, hata kama atasomewa Aya zote.
MAZINGATIO:
Nyoyo ndiyo husikia na kuzingatia.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi