Mariam aliuliza swali la asili: Vipi nitakuwa na mtoto."

Mariam aliuliza swali la asili: Vipi nitakuwa na mtoto."

Mariam aliuliza swali la asili: Vipi nitakuwa na mtoto."

168 7

Mariam aliuliza swali la asili: Vipi nitakuwa na mtoto ilihali hakuna binadamu aliyenigusa? Likamjia jibu: (Hilo kwangu ni lepesi mno). Na inaeleza Qur’ani kwamba kuzaliwa Issa ilikuwa ni (Ishara kwa watu na Rehema kutoka kwetu). Muujiza ambao halikuwa ndio lengo lenyewe, bali ilikuwa ni alama inayomfanya binadamu afikirie.

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates