​Inasema Qur’ani kuhusu Mariam: “Aliyehifadhi ubikra wake”,"

​Inasema Qur’ani kuhusu Mariam: “Aliyehifadhi ubikra wake”,"

​Inasema Qur’ani kuhusu Mariam: “Aliyehifadhi ubikra wake”,"

143 13

Inasema Qur’ani kuhusu Mariam: “Aliyehifadhi ubikra wake”, kisha inasema kuhusu Mariam huyo na mwanawe: “Na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni ishara kwa walimwengu”. Kumtukuza Mariam katika uislamu kunafungamana na usafi wake, na imani yake, na kuzaliwa Issa ni ishara inayopita wakati wa Mariam na sehemu yake.

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates