Wanafiki hufanya matendo dhidi ya haki, wana amrishana maovu, na kupambana dhidi ya mema, na kumsahau Allah hatimaye Allah naye anawatelekeza katika uovu wao.
Hivyo, ni wajibu kuwa na tahadhari ya unafiki katika maneno na matendo, na tuhakikishe tunadumu katika kutakasa matendo yetu kwa ajili ya Allah.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi