Kufurahi kwetu kwa neema alizo tuneemesha Allah ."

Kufurahi kwetu kwa neema alizo tuneemesha Allah ."

Kufurahi kwetu kwa neema alizo tuneemesha Allah ."

68 11

Kufurahi kwetu kwa neema alizo tuneemesha Allah juu yetu ni miongoni mwa fadhila zake na rehema zake, na hivyo ni bora kuliko chochote tunacho kikusanya katika dunia.

Ni wajibu wetu kuwa wenye shukurani, na kukumbuka siku zote kuwa radhi za Allah ni neema kubwa.

Tunachojifunza:

Fadhila za Allah, kuridhia na kuwa na shukurani juu ya neema za Allah.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki