Ukweli ni njia ya wokovu
Tunatakiwa kushikamana na wakweli, kwani ndiyo salama ya nyoyo zetu na ukweli wa maneno: “ Mcheni Allah, na kuweni pamoja na wakweli” ili muishi maisha yaliyo jaa baraka na uongofu.
Tunachojifunza:
Umuhimu wa Ukweli, toba na imani
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi
