Utakapo waona watu ambao wanafanya upuuzi na shere kwenye"

Utakapo waona watu ambao wanafanya upuuzi na shere kwenye"

Utakapo waona watu ambao wanafanya upuuzi na shere kwenye"

5 3

Utakapo waona watu ambao wanafanya upuuzi na shere kwenye Aya za Allah, basi waepuke haraka sana, mpaka waache upuuzi huo na upotevu.

Ni wajibu kwako kuilinda imani yako, na wala usishirikiane na ambaye atakupoteza, bali fuata njia ya Uislamu, iliyo nyooka.

Tunachojifunza:

Kujitenga na upotofu ni katika imani na tawhidi.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki