Utoaji bora hausubiri muda maalumu, bali huwa wakati wowote,

Utoaji bora hausubiri muda maalumu, bali huwa wakati wowote,

Utoaji bora hausubiri muda maalumu, bali huwa wakati wowote,

11 8

Utoaji bora hausubiri muda maalumu, bali huwa wakati wowote, na huwa katika kipindi cha  usiku, au mchana, kwa siri au dhahiri.Moyo unapojawa na mapenzi ya kufanya kheri basi hupata njia ya kuwajali na kuwathamini wengine.MAZINGATIO:Ukarimu na kutoa katika mambo ya kheri ni nuru ya Qur’an.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki