Kiongozi bora huwa hawatukani watu, bali huwa na tabia ya kusamehe,

Kiongozi bora huwa hawatukani watu, bali huwa na tabia ya kusamehe,

Kiongozi bora huwa hawatukani watu, bali huwa na tabia ya kusamehe,

15 9

Kiongozi bora huwa hawatukani watu, bali huwa na tabia ya kusamehe, na kusikiliza  na kushauriana katika mambo.

Nyoyo hujengwa kwa tabia hizo njema, kabla ya kujenga maazimio yoyote.MAZINGATIO:Uongozi bora na tabia njema ni nuru ya Qur’an.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki