Mtihani wetu mkubwa katika maisha haya ya duniani ni kuangalia jinsi ya kuiboresha dunia vizuri, dunia ambayo Allah ametudhalilishia.
Kuiboresha dunia vizuri kunaanza kwa kuwa na Ikhlaswi(Utakaso) katika matendo yetu yote.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kuyasimamia majukumu yetu ya duniani kwa kuwa na ikhlaswi katika matendo.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi