Mazingatio si cheo chako, bali ni kwa yale unayo yafanya."

Mazingatio si cheo chako, bali ni kwa yale unayo yafanya."

Mazingatio si cheo chako, bali ni kwa yale unayo yafanya."

21 10

Mazingatio si cheo chako, bali ni kwa yale unayo yafanya katika hii dunia.

Kwa hakika umeumbwa kwa ajili ya kubeba ujumbe mkubwa, je utakuwa katika wale wenye kufanya vizuri, au katika wale wenye kufanya uharibifu?

Wewe ni Khalifa katika ardhi, basi usifanye khiyana ya amana uliyo pewa uisimamie

MAZINGATIO:

Ni wajibu kuijenga dunia kwa uaminifu.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki