​Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Allah! Kisha wakanyooka sawa,"

​Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Allah! Kisha wakanyooka sawa,"

​Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Allah! Kisha wakanyooka sawa,"

144 102

Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Allah! Kisha wakanyooka sawa, hao huwateremkia Malaika wakawaambia: Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa

Sisi ni vipenzi vyenu katika maisha ya dunia na katika Akhera, na humo mtapata kinacho tamaniwa na nafsi zenu, na humo mtapata mtakavyo vitaka

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates