Uaminifu si mtu kufanya majukumu yake binafsi tu, bali ni kipimo na mizani ya kujua uadilifu, katika hali ya mtu anapo timiza amana kama inavyo takiwa.
Unapo kuwa Mwaminifu, basi unapandikiza amani ndani ya nyoyo za wenzako unao shirikiana nao
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi