Na (makafiri) wakitaka kukuhadaa (kwenye suluhu na amani)

Na (makafiri) wakitaka kukuhadaa (kwenye suluhu na amani)

Na (makafiri) wakitaka kukuhadaa (kwenye suluhu na amani)

46 22

 Na (makafiri) wakitaka kukuhadaa (kwenye suluhu na amani) basi Allah anakutosha (dhidi ya hila na khiyana zao). Yeye (Allah) ndiye aliyekupa nguvu kwa nusra yake na kwa waumini  Na ameziunganisha nyoyo zao[1]. Lau kama ungetoa vyote vilivyomo duniani usingeweza kuziunganisha nyoyo zao, lakini Allah ndiye aliyewaunganisha[2]. Hakika, Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima

Al-Anfaal (62:63)

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki