Jirani yako unaye tofautiana naye katika dini, anaweza."

Jirani yako unaye tofautiana naye katika dini, anaweza."

Jirani yako unaye tofautiana naye katika dini, anaweza."

1 1
Tags Ili mjuane

Jirani yako unaye tofautiana naye katika dini, anaweza kuhitaji msaada wa kumbebea mfuko mzito. Au kukuuliza jambo ambalo litamuondolea upweke.

Tofauti ya itikadi haizuwii kuamiliana kwa uadilifu na wema wa kweli.

Huenda ukaanza kujua kuwa mahusiano mazuri huanzia kwenye kizingiti cha nyumba.

MAZINGATIO:

Kuwa mwema kwa jirani yako

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates