Kabla ya kutuma majibu yako ya hasira, jaribu kuyasoma."

Kabla ya kutuma majibu yako ya hasira, jaribu kuyasoma."

Kabla ya kutuma majibu yako ya hasira, jaribu kuyasoma."

1 1
Tags Ili mjuane

Kabla ya kutuma majibu yako ya hasira, jaribu kuyasoma kama vile wewe ndie utakaye yapokea na si mwenzako! Unaweza kubainikiwa na mtazamo wako bila ya kujidhalilisha, na kufanya jambo tofauti bila hata ya kujeruhi.

Huenda maneno mazuri yakaleta mahusiano mema ambayo yalikuwa hatarini kuharibika.

MAZINGATIO:

Ni wajibu kuwa na maneno mazuri katika mazungumzo yetu

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates