Kabla ya kumuuliza mtu kuhusu jinsia yake au elimu yake, kumbuka kuwa utukufu wake hauambatani na majibu yake.
Unaweza usiijue lugha yake, wala chochote kuhusu maisha yake. Lakini jifunze tu yanayo kuwezesha kuamiliana naye kwa heshima: kwani yeye ni mtu aliye pewa heshima kubwa na Muumbaji wake.
MAZINGATIO:
Tambua heshima ya mtu
related cards
Browse Islamic cards