Wakati mtu wa mji mwingine anapo kusalimia, usiache tofauti ya lugha yake ikakushughulisha na kutomjali, bali mjibu kwa furaha, na umpe nafasi ya kumuonesha umuhimu wake. Huenda kumuitikia kwako salamu yako ikawa ni mwanzo mzuri wa kumjulisha na kujiona kuwa naye si mgeni wa mazingira aliyopo!
MAZINGATIO:
Maamkizi mema (Salamu) hutuweka kuwa karibu na kuleta upendo baina yetu
related cards
Browse Islamic cards